Saturday, February 10, 2018
Monday, January 29, 2018
Sunday, January 21, 2018
Rubani ashushwa kwenye ndege sababu ya Ulevi
Rubani aliyedaiwa amelewa alilazimishwa kutoka kwenye ndege katika uwanja wa Gatwick baada ya abiria kuwa na hofu.Rubani aliyedaiwa amelewa alilazimishwa kutoka ndege katika uwanja wa Gatwick baada ya abiria kuwa na hofu.
Ndege hiyo ya Uingereza iliokuwa ikieekea Mauritius siku ya Alahamisi ilicheleweshwa kabla ya rubani huyo kutolewa na mwengine kuchukua mahala pake.
Duru za habari katika uwanja huo iliambia gazeti la The Sun: Maafisa wa polisi waliingia katika ndege hiyo kabla ya kuelekea moja kwa moja katika chumba cha rubani.
Rubani huyo alifungwa pingu na kutolewa.
Raia mmoja mwenye umri wa miaka 49 kutoka Magharibi mwa mji wa London amekamatwa na atasalia katika mikono ya maafisa hao kulingana na askari wa Sussex.
Mtu huyo kutoka eneo la Harmondsworth, magharibi mwa Drayton, amekamatwa kwa tuhuma za kutaka kuendesha ndege wakati ambapo kiwango cha pombe katika mwili wake kimezidi kiwango kilichowekwa.

Chanzo: BBC
Thursday, January 18, 2018
Treni inayobweka kama mbwa kuwafukuza swara kwenye reli
Treni iliyoundwa mfano wa Mbwa ili kuwatisha swala wanaolamba chuma cha reli usiku |
Gazeti la
KUHUSU MAFAO YA WATUMISHI HEWA NA VYETI FEKI+KUPANDA MADARAJA
Hatma ya mafao ya wafanyakazi wa serikali walioondolewa kwenye ajira kutokana na kubainika kuwa na vyeti feki
Subscribe to:
Posts (Atom)