Msanii wa bongo flava Rich Mavoko maarufu kama Messi wa Bongoflava na Lulu Diva wameamua kuweka mapenzi yao Hadharani.... Hii ni baada ya Kujificha na Kufanya Siri Kubwaaa katika mapenzi yao kwa muda mrefukwa ..Picha hapo juu inaonesha wakiwa katika pozi la mahaba mazito. Shuhuda wa couple hii mpyaa anasema mavoko na Lulu wanapika na Kupakua..hahaaaaa...mapenzi hayana siri ..
No comments:
Post a Comment