Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Leo amemtembelea Mwenyekiti wa TLS Mh, Tundu Lissu Aliyepigwa Risasi Mkoani Dododma miezi kadhaa iliyopita na kupelekwa nairobi kwa matibabu.
Pia amewasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais John Pombe Magufuli.
No comments:
Post a Comment