Kama ni mpenzi na mfatiliaji wa maisha ya Mastaa na Familia zao nakusogezea hii ya Shettah aka Baba
Qayllah ambaye kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kumuandikia mwanae wosia juu ya maisha yake ya baadae, Shettah kaandika:
‘Mwanangu Najua kuna watu wanakusubiri subiri ukue kue walete mambo yao ya Kukunyapia nyapia Sasa ninachokuhusia mwanangu Baba Yako nina kila kitu asijudanganye Mtu ukaingia laini ukakazika kijinga jinga Kaza mwanangu’.
Shettah kwa sasa ni baba wa watoto wawili wa kwanza ni Qayllah na wa pili ni Qamrah.
No comments:
Post a Comment