Aliyekua makamu wa Rais wa Zimbabwe bwana Emmerson Mnangagwa ameapishwa rasmi kuwa Rais mpya wa Zimbabwe.
Ameahidi ajira kwa vijana. Anaingia madarakani baada ya kujiuzulu aliyekua Rais wa nchi kwa miongo kadhaa bwana Robert Mugabe
Anakabiliwa na changamoto ya ajira ambapo takriban asilimia 90 ya raia wa nchi hiyo hawana ajira.
No comments:
Post a Comment