Ni msanii ambaye aliibuka kupitia filamu ya This is it akiwa sambamba na mwigizaji mwenzake Jenifer huyu si mwingine ni Othuman Njaidi ‘Patrick’ vipaji vilivyoiburiwa na maremu Kanumba Patrick anasema kuwa anamkumbuka sana Kanumba kwani alikuwa mlezi kwake.
Hivi karibuni Muigizaji Patrick Kanumba ambaye aliwahi kuigiza na Kanumba kwenye filamu ya Uncle JJ, amesema anataka kuwa muigizaji mkali kumzidi Kanumba ambaye ndiye aliye ibua kipaji chake.
Tazama picha zake hapa
No comments:
Post a Comment