Waziri wa Habari, Dkt. Harrison Mwakyembe ametuma salamu za pole kwa ajali ya moto iliyotokea kwenye ofisi za kituo cha redio na televisheni cha Clouds Media hapo jana
-
Aagiza taasisi zinazohusika zifanye uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha tatizo
-
Aidha, Dkt. Mwakyembe amelipongeza Jeshi la Zimamoto nchini kwa kuitikia wito na kufika kwa haraka sehemu husika na kuudhibiti moto huo usilete madhara zaidi.
Source: #JFLeo
No comments:
Post a Comment