Paul Makonda..Clouds Media Group
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda, leo amewasili mwenyewe na kamati yake ya
ulinzi na usalamampaka katika Ofisi
na makao makuu ya Clouds Media Group ili kujionea hali halisi baada ya jana kutokea ajali ya moto katika moja ya studio za Clouds Media Group (Clouds Tv).
Uongozi wa Clouds umetoa maneno haya baada ya Mkuu wa mkoa kuwatembelea. "Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, ikiongozwa na RC Paul Makonda wamefika hapa Mjengoni - CloudsMediaGroup kutupa pole na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi katika Ofisi zetu hapa Mikocheni.Tunashukuru sana kwa ushirikiano huu na ule ulio oneshwa na kila mmoja katika kufanikisha uokozi wa mali na maisha ya watu hapo jana"
Picha Na: CloudsTv

No comments:
Post a Comment