SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANNEL-Shec Media.........LIKE OUR FACEBOOK PAGE-Shec Media..... FOLLOW US ON INSTAGRAM-@shecmedia_tz........WHATSAPP NUMBER +255 752 0133 43

Friday, December 1, 2017

NEWS! UJUMBE MZITO WA MANGE KIMAMBI BAADA YA WEMA KURUDI CCM. Soma zaidi hapa...


Baada ya Wema Sepetu kutangaza rasmi hii leo kukihama chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) na kujiunga na CCM, Mwana dada Mange Kimambi amemuandikia ujumbe huu hapa👇

"Not sure what to say, I only blame her for not being strong enough. Nyerere alikaa jela 25 years she could have taken 2 or 3 years za hiyo kesi yake. Kimara nzima wamebomolewa nyumba na wanaishi sembuse yeye mwenye jina kubwa??? Na lipshine zako walizozipiga marufuku so what? Ungekomaa na msimamo wako serikali ingechoka kukuandama. Wema you are weak! Very weak! Hujawaangusha waTZ tu, umejiangusha mwenyewe pia, your fans and everyone who cared for you. Hivi kizazi hiki kina Winnie Mandela hakuna kabisa eehe? Nakuonea huruma mnoooo sababu umepotezs credibly yooooote kwenye jamii....."

No comments:

Post a Comment