BREAKING NEWS: Wema Sepetu Arudi rasmi CCM na kujitoa rasmi Chadema. Aongea mambo mazito. Soma zaidi hapa....
"Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani... Peace of mind is everything for me... Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani...."
Ameandika maneno hayo mwanadada huyo katika ukurasa wake wa Instagram ambaye alikacha chama cha mapinduzi ccm na kuwa kada maarufu wa Chadema
Lakini sasa, Wema sepetu ameamua rasmi kurudiChama cha Mapinduzi CCM na kusema ameamua kurudi nyumbani ili apate amani ya moyo. Hii ni kuonesha kwamba mlimbwende huyo alikua anaishi bila amani alipokua huko CDM
Toa maoni yako
No comments:
Post a Comment