SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANNEL-Shec Media.........LIKE OUR FACEBOOK PAGE-Shec Media..... FOLLOW US ON INSTAGRAM-@shecmedia_tz........WHATSAPP NUMBER +255 752 0133 43

Thursday, November 30, 2017

Alberto Msando-"ZITTO KABWE ALIWAHI KUTAKA KUNIPINDUA"



















Ikiwa zimepita Siku kadhaa tangu Wakili Maarufu nchini Bwana Alberto Msando kuhamia chama cha mapinduzi CCM kutoka ACT Wazalendo na kuonekana kumsaliti rafiki yake wa karibu Mh, Zitto Zuber Kabwe, wakili huy amefunguka maneno haya
"Mimi Sijamsaliti Zitto Kabwe, niko tayari kupambana naye kwenye ulimwengu wa siasa, hatujaanza kupingana leo, nakumbuka alitaka kunipindua wakati tukiwa chuo kikuu mimi nikiwa spika wa Bunge la wanafunzi yeye akiwa Waziri Mkuu lakini baadae tulirudi kufanya kazi katika serikali moja.

Nikiri kwamba sijazungumza na Zitto toka nimehama ACT, wala sikumpa taarifa juu ya mimi kuhama, sina tatizo na Zitto yeye ndiye alinitambulisha kwenye ulimwengu wa siasa, hata nilipotoka CHADEMA nilikaa mwaka mzima bila kuzungumza na Mhe Mbowe, lakini baadae tulizungumza maisha yakaendelea, siasa sio uadui.” Alberto Msando.

No comments:

Post a Comment