RAIS MAGUFULI: "Vyuma Vimelegea". Atoa Onyo kwa watoaji takwimu feki
DODOMA: Rais Magufuli amesema watu wanaopotosha takwimu wachukuliwe hatua kama sheria zinavyotaka
-
Ametolea mfano kuna watu wanasema 'vyuma vimekaza' wakati Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonyesha 'vyuma vimelegea', wanapaswa wakamatwe wakaelezee vimekaza wapi
-
Rais ameyasema hayo leo wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mkoani humo.
Acha maoni yako hapa!
No comments:
Post a Comment