Mgombea Martin Ngoga wa Rwanda ameapishwa kuwa Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) baada ya kuchaguliwa kwa Kura 35, akifuatiwa na Leontine Nzeyimana wa Burundi aliyepata Kura 1
-
Mgombea Adam Kimbisa kutoka Tanzania amepata Kura 0
-
Jana kuliibuka mvutano kuhusu uchaguzi huo baada ya wabunge kutoka nchi nyingine kusema Tanzania haipaswi kuweka mgombea kwa kuwa zamu yake ilishapita

No comments:
Post a Comment